JamiiForums Usiku wa manane

Sio lazima ni msosi tu anapewa huyu wakienyeji na anakuwa nakilo 9
 
Basi ngoja niende ilala nikabebe second hand clothes niingie mzigoni singida
Nakwambia hv hautajuta watu wanamazao hawana nguo

Nenda hata iramba watakupa alizeti au mahindi

Au subiri mwakani msimu wa vitunguu uishe

Nenda utakuta watu wanakuja na kuku wanauza mpaka elfu3 uliosema ss huy ondo umpe nguo akunyime vitunguu hata gunia 2 lweli?![emoji38]
 
Duuh nisawa ila lazima ujue soko lake liko wapi,kama hao kuku uwe angalau na hotel unapeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…