Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,288
- 40,913
Inategemeana na fundi,kuna fundi wangu ubungo maji pale,bei zake nzuri na mbao zake nzuri pia hasa kwa mtu anayekufahamu anatengeneza kitu kizuriMbao raha sema ghali[emoji23] ukiuziwa vile cyakukauka buguruni au tanduka bei cheee ss jidai una design ss utajua
Unarudishwa kwenu saba hata hazijaisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uiii ulaaaniwe villain
Wakati nakuja huku dasalamaWeeeeh ukiwa unaenda wap ukiwa unarudi nipigie picha naskia hua mnakaa kimya wote[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe muoga kama mmKupanda mm siogopi ila kushusha ndio naogopa kinoma maana ni blake nyingi mpaka tairi za gari zinanuka tu.
Hapo ni ibada tu zinapigwa mpaka mlima uishe mlima waajabu sana ule sijawahi ona.Weeeeh ukiwa unaenda wap ukiwa unarudi nipigie picha naskia hua mnakaa kimya wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Daslama [emoji23][emoji23][emoji23] umefata mafurikoooWakati nakuja huku dasalama
Kupanda siogopi maana unakuwa guard na mlima lakini kurudi mtu akikugonga kawauwa mnakufa bondeni huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe muoga kama mm
Mwaka fulani nilitoka mbeya mchana pale tulipita kama za 1830,tairi la mbele likapasuka likaanza kuseleleka Princess Muro likaenda kugonga kingo ya road likarudi wasafiri wengi walikuwa wazambia,Congolese na Zimbabwe kelele za mle ilikuwa hatari kila mtu na Mungu wakeKupanda mm siogopi ila kushusha ndio naogopa kinoma maana ni blake nyingi mpaka tairi za gari zinanuka tu.
Huku ninapokaa nimilimani nafuriko tunayaangalia tu tukitoka hukuDaslama [emoji23][emoji23][emoji23] umedata mafurikooo
Kama jana nikiwa naenda posta nikekutana na scaveter wanachonga watope tu jangwani pale na ile yard iliokaribu bado kidogo gari ziondoke na maji.Daslama [emoji23][emoji23][emoji23] umedata mafurikooo
Hatari sanaKupanda siogopi maana unakuwa guard na mlima lakini kurudi mtu akikugonga kawauwa mnakufa bondeni huko.
Pale hapajapata tibaKama jana nikiwa naenda posta nikekutana na scaveter wanachonga watope tu jangwani pale na ile yard iliokaribu bado kidogo gari ziondoke na maji.
Waajabu kivipi mm sipendi milima kwa kweliHapo ni ibada tu zinapigwa mpaka mlima uishe mlima waajabu sana ule sijawahi ona.
Acha kabisa kama tukio naliona live vile shetani wapale ni kiboko accident muda wote hapo.Mwaka fulani nilitoka mbeya mchana pale tulipita kama za 1830,tairi la mbele likapasuka likaanza kuseleleka Princess Muro likaenda kugonga kingo ya road likarudi wasafiri wengi walikuwa wazambia,Congolese na Zimbabwe kelele za mle ilikuwa hatari kila mtu na Mungu wake
[emoji23][emoji23]mnakufa kimasiharaKupanda siogopi maana unakuwa guard na mlima lakini kurudi mtu akikugonga kawauwa mnakufa bondeni huko.
Hahahahaha kufa mchezo unafkiri ugali mtamu sanaMwaka fulani nilitoka mbeya mchana pale tulipita kama za 1830,tairi la mbele likapasuka likaanza kuseleleka Princess Muro likaenda kugonga kingo ya road likarudi wasafiri wengi walikuwa wazambia,Congolese na Zimbabwe kelele za mle ilikuwa hatari kila mtu na Mungu wake
Basi nikileta posa,siku ya kwanza kufika kwetu utapiga simu wairudishe tu hata kama tumeenda kusalimia tu siku2,maana kwetu milima ni 85%Waajabu kivipi mm sipendi milima kwa kweli
Aisee hiyo ndio short cut ukitoka kimara kwenda kigogo, chanika na goms unataka upite wapi ww [emoji23][emoji23][emoji23] ilembona sio milima.Sababu ya kua muoga
1.speed ya gari sipendi nilipata ajali sinza kisa kukimbixana gar likafa brake
2. milima aiseeee nilipanda mlima pale mwanga kilimanjaro kwa bodaboda ni inakimbizwa yani nilikua nalia kama mtt mpaka nafika top ya mlima miguu haina nguvu maana nilikua naikaza na sura imejaa machozi mpaka leo mm hata njia ya kinuerezi majumba 6 to malamba ma2 mbe,i nikipita nalia1[emoji23][emoji23] nahisi kama ndo nakufa leo imahine unapada mlima kwa lisaa zina au dk45
Uoga kitu kibaya sana
Milima ipo mbezi[emoji23] mbezi mwishooHuku ninapokaa nimilimani nafuriko tunayaangalia tu tukitoka huku