Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
00:10
0410
0410
Karibu Mjep
Fastaaa nitakuja, muda wako tu sasa
Asante, I have to hit my pillow nowKaribu
041200:10
Ahsante mkuu ulipotea sana mwanampotevu nikukaribishe na wewePita ndani....
Mkuu, atakua salama salmini, uwe na mapumziko memaNakuacha katika mikono ya Mjep sasa. Naimani nitakukuta poa next time mamii
Nakuacha katika mikono ya Mjep sasa. Naimani nitakukuta poa next time mamii


Nipo mkuu tunamalizia usiku hv
Usicheke mkuu nimekabidhiwa lindo na kukulinda wewe kijiti nimepewa mimi nitahakikisha hudhuriki
Usicheke mkuu nimekabidhiwa lindo na kukulinda wewe kijiti nimepewa mimi nitahakikisha hudhuriki
Sent using Jamii Forums mobile app
Use me inawafaa woteHizi zote nishazidownload bado kuzicheki tu. Nawe HUSTLERS inakufaa sana

Uwe na usinhizi mwema mkuu, unastahili mapumziko hakika umelitendea haki lindo siku ya leoNaomba nisinzie sasa.
Uwe na usinhizi mwema mkuu, unastahili mapumziko hakika umelitendea haki lindo siku ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji kukumbushwa na kampani pia.