fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Karibu sana na amani kwenye kwako pia.Amani iwe nanyi wapendwa!
Karibu sana na amani kwenye kwako pia.Amani iwe nanyi wapendwa!
Leo kani ninayo kweli![]()


Hizi zote nishazidownload bado kuzicheki tu. Nawe HUSTLERS inakufaa sana
Acha ibakie kuwa siri yangu mamii😄😄Labda ujitaje wewe...sina kingine
Sijaicheki bado, vipi kuhusu OVERVOMER iko powa?Watched that Last night....haikufai lakini....@![]()
ndio umeamka au bado uko ndotoni mzee 😆😆😆Hivi kuna powerbank ya kuweza kunisiaidia kupoga pasi?
Umeme umekatika na nitahitaji kunyoosha nguo
Umenikumbusha pumba na Timon😂😂😂The Lion King...nilitazama kwa lazima 3D.
Hivi kuna powerbank ya kuweza kunisiaidia kupiga pasi?
Umeme umekatika na nitahitaji kunyoosha nguo
Sijaicheki bado, vipi kuhusu OVERVOMER iko powa?
Hii itamsaidia ingawa si wote wapenzi wakupiga pass nguo za week nzimaAisee pole sana.
Jitahidi kupiga pasi nguo za week
Umenikumbusha pumba na Timon![]()
Ungependelea malipo ya aina gani? 😉Hapana sitoi review bure
Hii itamsaidia ingawa si wote wapenzi wakupiga pass nguo za week nzima
Mbona una mkataza sasa kwani Parental Guidance ni ipi kwenye hivyo kitu 😆😆😆Watched that Last night....haikufai lakini....@![]()
Ungependelea malipo ya aina gani?![]()
Kwasababu si mpenzi wa hizo animations and it looks like LionKing didn't fascinate youSikumbuki majina...
Mbona unampa mkataza sasa kwani Parental Guidance ni ipi kwenye hivyo kitu![]()


Kwasababu si mpenzi wa hizo animations and it looks like LionKing didn't fascinate you
Kiasi gani na nikutumie kwa njia gani?Malipo ni ya pesa tu hapa