Labda waarabu wameingilia kati kwasababu inaelezea vibaya mwenendo wa nchi zaoimeishia season ya 3 imefungiwa kama Series ya Traveler, Betrayal ni hatari hizi series kwa Jamii.
Kweli lakini hizo betrayal na traveler ni za intelligence ndio maana wamefungia zipo deep sana kwenye hiyo secta watu wa usalama wakona wazifungie hizo series.Labda waarabu wameingilia kati kwasababu inaelezea vibaya mwenendo wa nchi zao
Zilikwepo series za hatari kama Spartacus, Rome na zingine ambazo zina kila aina ya uchafu kama ngono na mauaji ya kikatili lkn hazikufungiwa
Watu wameoa na kuolewa wanatumika ndoa zao saiz.Lindo limesuswa siku hizi
🤣🤣acha waijaze duniaWatu wameoa na kaolewa wanatumika ndoa zao saiz.
😂😂😂 kuijaza hawawezi🤣🤣acha waijaze dunia
Wanaongeza idadi ya Watz😂😂😂 kuijaza hawawezi
Tupo apa mkuuTuimalishe lindo wadau
Kwahiyo wasiooa na kuolewa ndio wanapuyanga kwenye malindo usiku wa manane?Watu wameoa na kuolewa wanatumika ndoa zao saiz.
Maana yake I miss you four [emoji8]Hii maana yake ni "i miss you three" ama "i don wanna be missed"...heheheh
Ahsante boss0454,Khantwe nakuandalia Tuzo.
Hayo ndo manenoMaana yake I miss you four [emoji8]
Haupo mwenyeweNafunga lindo rasmi 05:26
Haikuwa first option...Wewe ni mwanaume wa kwanza (Afrika) kukiri kutokusakata kambumbu enzi za ujana wako[emoji848]