JamiiForums Usiku wa manane

😂😂😂 Kumbe tuna mawazo mamoja(sawa).

Asante kwa mfano huo... Ipo siku ufafanuzi wa mfano huu utanisaidia kumwibulia mtu kesi🤣
Mkuu
Kwani Thad ana msambwanda ?
Nadhani, wewe ndio utuambie.

Ila alichomaanisha ni kwamba akiwa na mtu(kwa mfano wewe) ukigeuka tuu kuangalia mdada mwingine utakua umejinunulia kesi😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…