Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,770
- 82,209
Yeah dunia imekua kijiji, mda wowote mtu yeyote anaweza kuwa sehemu yoyoteKabisa mkuu kwa muda wa wiki tatu zilizopita nilikuwa nimekanyaga JUBA,NAIROBi,A TOWN,na Sasa nipo kwa Makonda,ndo manake kamanda.
Nzuri kabisa za kwako.
Kwel kabsa broUongo chief?
Lovly sister,,,,assalaym alyequm
Kwema sistaa.. Hujatuletea bites na gahawa lindoni?
Lovly sister,,,,assalaym alyequm
Hahaha unazingua mkuuAise huku sasa ndio dar- es- salam. Watu hamlali kabisa huku ... kweli mmevurugwa.. au wengine ni diaspora mnatuzuga tu hapa ..ili tuendelee kuwapa kampani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alhamdulilah watuara wabarakatu,
Kwema sistaa.. Hujatuletea bites na gahawa lindoni?
Haha siwaelewi mjue ..saa 8 hii lakini kwenu ni kama saa 12 jioniHahaha unazingua mkuu
Haha siwaelewi mjue ..saa 8 hii lakini kwenu ni kama saa 12 jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wakurugenzi wamepumzika tumebaki sisi tusio kuwa na mamlaka ya kugawa chochote. Tutakupokea tu kistaarabu taratibu nyingine wakija watakujuza [emoji23]