Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,903
Lahaja gani hii Zurri? Jana uliangusha gari ukaniacha na mjadala wetu peke yangu. Angalia comment # 57879 nilivyouhitimisha ..."Kiongozi asie muadilifu ni sawa na shamba bila kumwagiliwa"
Nimetatanika kidogo kwa sababu mitaani huku ukiongelea mambo ya kuzama uvinza utajikuta unaibua mjadala tofauti kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Ya mombasa sio uvinza kigoma
HahahaNimetatanika kidogo kwa sababu mitaani huku ukiongelea mambo ya kuzama uvinza utajikuta unaibua mjadala tofauti kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeshatoa taarifa maliasili (tanapa) maana simba ni wanyama hatari kama wamekukurupusha usingizini usitoke nje watakutafuta kama kitoweo. Piga simu tanapa park rangers waje kuwachukuaSimba wameniharibia usingizi mazee. Nimepita kuwasalimu.
Mkuu unalala Serengeti, Ngorongoro, Mikumi au mbuga gani?Simba wameniharibia usingizi mazee. Nimepita kuwasalimu.
"Simba tumefugwa huko Egypt, Ila tumepnga turudi tunashangilia ili watani zetu wajue tumeshinda."Sema ila kwa sauti ya chini
Umeshatoa taarifa maliasili (tanapa) maana simba ni wanyama hatari kama wamekukurupusha usingizini usitoke nje watakutafuta kama kitoweo. Piga simu tanapa park rangers waje kuwachukua
Mkuu unalala Serengeti, Ngorongoro, Mikumi au mbuga gani?
Pole sana mkuu.Hii mbuga hata sielewi inaitwaje.
[emoji16][emoji16][emoji16]"Simba tumefugwa huko Egypt, Ila tumepnga turudi tunashangilia ili watani zetu wajue tumeshinda."
Enzi hizo school ,timu yetu ikifungwa na timu ya shule jirani , tunarudi huku tunashangilia ili isijulikane kwa urahisi kama tumepigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli watu tunatofautiana!
Kwanini umesema hivyo Bbade?Kweli watu tunatofautiana!
Bila shaka unatilia mkazo sio ?
Kabisa. ....unaweza kuona nyekundu. ..wengine wakaona njano
Kwanini umesema hivyo Bbade?
Kabisa. ....unaweza kuona nyekundu. ..wengine wakaona njano
Kabisa. ....unaweza kuona nyekundu. ..wengine wakaona njano