Kiwango cha msamiati sijui,hili tunaweza kuwauliza maguru wa lugha hii,ila msingi mama wa lugha moja kutoafautiana na lugha nyingine ni SARUFI,sababu katika fani au somo la sarufi ndio huwa tunapa maneno na maumbile yake.
Kiswahili kitakuwa ni kibantu kwa sababu niliyokupa na hakiwezi kuwa mseto na ligha nyingine sababu kila lugha ina sarufi yake,Kiswahili hakiwezi kuwa kiarabu sababu sarufi ya kiarabu ni tofauti kabisa na sarufi ya Kiswahili,kwa minajili hii ndio maana tunaishia katika kukopa maneno kwa maana zake au matamshi yake lakini hatukopi sarufi.
Aarif hii kitu ni ile ya asili au nyengine zaidi?Wangapi mtakunywa?View attachment 1011067
Umeona wanavyo lichanganya Taifa pendwa liliro barikiwa na Mungu.
Wa Unguja Nyanya wanasema tungule.That D
Bomba la maji wanasema Mferji That Big fat D
Leo wao ndio lahaja zao tuzitumie si tutaangamia.
Rula wanasema Mstari.
You are responsible for your actions, sir...[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu unataka tucomments tuonekanw tuna tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kusema sikufundishwa kiswahili shuleni? Au ?
Kiswahili kumbe kigumu hivi?
Nipatie mstari nichore sanduku (boksi)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chai tu ya tangawizi bablaiAarif hii kitu ni ile ya asili au nyengine zaidi?
Sio kivileeee.Ni kusema sikufundishwa kiswahili shuleni? Au ?
Kiswahili kumbe kigumu hivi?
Wangapi mtakunywa?View attachment 1011067
Hahaha.. Niliwahi kwenda huko Zanzibar kupanda usafiri ukifika kituo unachoshuka bara tunasema 'shusha' kule nilisikia 'tia' [emoji16][emoji16]Mfereji wangu wa jikoni umevunjika.....[emoji54][emoji54][emoji54]
Ata mchange niweke zulia [emoji85]Ni vile uko na terazo hapo. ...nilifikiri uko kwangu [emoji6][emoji6][emoji6]
Hahaha.. Niliwahi kwenda huko Zanzibar kupanda usafiri ukifika kituo unachoshuka bara tunasema 'shusha' kule nilisikia 'tia' [emoji16][emoji16]
Sindio ukuwe fiti tuendelee kulinda[emoji23]Ndio nini kunimalizia usingizi. ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
Ata mchange niweke zulia [emoji85]
Huna jetlag?[emoji801] 23'57 Nawaaga kwa muda huu..
Zimeshaisha tayari, dental care 0%, insurance hai involve hiyo side. [emoji87]Hata mkeka poa tu. .....
Ila chai nyeusi chalii...utaharibu meno