Lakini wakazi wa Tanga wanadai wao wanaongea Kiswahili safi..
Kule Zanzibar nako wanadai wao ndio mabingwa wa Kiswahili...
Sisi uku wa Tanganyika wanatuona Kiswahili chetu hakipo kwenye mstari ulionyokaa..
Vitu adimu hahahahaUsukumani rahaaa. Mwanaume wa Dar hapa anaweza kutoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1011051
Kigoma raha sana mkuu..Usukumani rahaaa. Mwanaume wa Dar hapa anaweza kutoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1011051
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hasa baada ya kupiga cha Arusha [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa hawajui kuna njaa, vita na jela au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usukumani rahaaa. Mwanaume wa Dar hapa anaweza kutoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1011051
Unazijua sababu zilizopelekea ikateuliwa? Na mzozo mkali uliofuatia?Ila lahaja iliyoteuliwa Kiswahili fasaha kiwe humo ni lahaja ya Kiunguja.
Mzee baba nini hiyo hapo chini kama ugali ila cheusii [emoji848][emoji848]Kigoma raha sana mkuu..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu siyo mashindano [emoji16][emoji16][emoji16]Kigoma raha sana mkuu..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ahsante kwa kutujuza Mimi nilijua ile ya Lahaja ya Kichaga..Ila lahaja iliyoteuliwa Kiswahili fasaha kiwe humo ni lahaja ya Kiunguja.
Ona sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba nini hiyo hapo chini kama ugali ila cheusii [emoji848][emoji848]
Ni kitu gani iko?Ona sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja aliyekiweka aje akujibu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Ni kitu gani iko?
Kiti ugali unga wa Muhogo jioni mwendo wa kutafuta watoto tuu na Mama mwenye eneo lake.Kigoma raha sana mkuu..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unazijua sababu zilizopelekea ikateuliwa? Na mzozo mkali uliofuatia?
Ipo hoja kwamba lahaja ya Kiunguja iliteuliwa na Waingereza ili kukiharibu Kiswahili kwa makusudi na kukiondolea ubantu wake hasa katika msamiati. Lahaja hii ndiyo ilikuwa imeathirika zaidi na maingiliano na Kiarabu kuliko lahaja zingine zote (Unguja yalikuwa makao makuu ya himaya ya Mwarabu). Kama lahaja za huko Lamu zingeteuliwa Kiswahili leo kingekuwa na sura tofauti sana kuliko hiki Kiunguja kilichosheheni maneno ya Kiarabu mpaka kupelekea wengine kuhoji kama Kiswahili kweli ni lugha ya Kibantu.
Kwa nini unasema hivyo?Swadaktaa umesema kweli. Ila Kiswahili ni kibantu tu na hakiwezi kuwa kinyume na kibantu.
Mbona vidole vinaelekea kusini magharibi?Huyu hata akikwambia umbebe huwezi kataa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1011053