Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,786
- 82,259
Unajisahau unahisi wote mpo zone moja kisa tu wakati huo wote mpo activeHahaa sasa kabla huyo mtu haja post comment yake si inampasa kuweza kujua majira ya watu anao chat nao kwanza mkuu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Veve leo ningendako si amenibania arif.
😂😂😂😂yawezekana etiTumia tochi inawezekana huupati kwasababu ya giza
Mimi ndio nina funguo zote. Mda wa kufunga nafunga mimi na kufungua ni mimiNani anafunga geti leo?
OkayUnajisahau unahisi wote mpo zone moja kisa tu wakati huo wote mpo active
Hizo nyimbo unatakiwa usikilize ukiwa upo ndani ya transparent nightdress uku unajikunjaa na kujinyoshaNyimbo za Celine Dion or Shania Twain zinaweza kua msaada [emoji2][emoji2]mwenye uwezo asaidie
Najua kuziimba huna haja ya ku download wacha nikuimbie moja moja[emoji23]Nyimbo za Celine Dion or Shania Twain zinaweza kua msaada [emoji2][emoji2]mwenye uwezo asaidie
Sasa wewe usiku wote huu unautafuta usingizi bila tochi utauonaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana eti
😂😂sasa apa utakua unaimba au unatypeNajua kuziimba huna haja ya ku download wacha nikuimbie moja moja[emoji23]
Goodnight
Kuna kijimwanga Kiasi kutokea dirishaniSasa wewe usiku wote huu unautafuta usingizi bila tochi utauonaje?