Hahahaaa ila ww ...umemisiwa na wanajukwaa wa jf usiku wa mananeWewe na mwenzio ndo mmeniamsha, nilikuwa naota zangu niko majuu nakula bata...agrrrrr mmeniharibia[emoji53]
Nimemisiwa na nani? Mwambie nilimmisi zaidi[emoji6]
Acha kumlaghai mtoto wa watu, kishumundu kuna korosho?[emoji23]Shaka ondoa kabisa, itabidi tukuletee na zawadi kidogo ya mabibo, inaonyesha u mdadisi sana.
Nyie bhana siwawezi mnajuana wenyew...msituzuge apaMimi wala sijammis kabisa ujue[emoji12]
Aisee mbona mimi heart break ikichukua muda mrefu ni sekunde 30 tu kwishney.Maumvu ya hiyo unasema huwa ni ya muda mfupi kulinganisha na hii nazungumzia hapa, heart break huchukua muda mrefu sana kurejea hali ya kawaida.
Majuu ndo wapi huko, we bado utakua unaota.Wewe na mwenzio ndo mmeniamsha, nilikuwa naota zangu niko majuu nakula bata...agrrrrr mmeniharibia[emoji53]
Nimemisiwa na nani? Mwambie nilimmisi zaidi[emoji6]
Jamani niliwamiss zaidi na zaidi naomba unifikishie salamu zangu za dhati kwa SHIMBA YA BUYENZE mtu chake Kichwa Kichafu spade 4 spade DINGI MTOTO HB wa kigogo na wengineo bila kumsahauHahahaaa ila ww ...umemisiwa na wanajukwaa wa jf usiku wa manane
Ili uniambukize hicho kikohozi au?[emoji57]Njoo tulale!
Utanimiss vipi wakati tunalala wote na kuamka wote kila siku?[emoji6]Mimi wala sijammis kabisa ujue[emoji12]
Majuu ni huko kwenu kaskazini au hujui kama pako juu kutokana na milima ya huko?[emoji23]Majuu ndo wapi huko, we bado utakua unaota.
Bora umemgundua, huyu anakuzuga tu[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie bhana siwawezi mnajuana wenyew...msituzuge apa
Usihofu mkuu, zawadi yetu haitakua na vigezo wala masharti.Nasikia kuna mtu pia mlimuahidi kumpatia zawadi, wakati wa kukabidhi mmka waalika TAKUKURU!
Sasa nini nyuma ya pazia ya zawadi yako.?
Sema haki....Aisee mbona mimi heart break ikichukua muda mrefu ni sekunde 30 tu kwishney.
Lakini siku kiwanda kilipobanwa mwezi mzima nilikua naugulia.
[emoji57] [emoji57]Acha kumlaghai mtoto wa watu, kishumundu kuna korosho?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nikusindikizeNasubiria kwenda kwenye harusi ya ex wangu ili nikaangukie cake ule Wimbo wa malwedhe ukipigwa π
[emoji23][emoji23][emoji23] msema kweli ni mpenzi wa Mungu[emoji57] [emoji57]
Umeanza dharau sioe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi watu wenu bado tu hawajaingia nchini?Eti Mzee baba alibet mil50 kaliwaππ
Ha hah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nikusindikize