Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kifua kinakusumbua, mpaka miezi mitatu ijayo kuna guarantee gani kuwa utakuwa bado hai? Nenda kwenye zahanati ya karibu. Huyu unafanya appointment wakati huumwi mf. ishu kama za tezi dume, annual physical na mengineyo.
Thad ana tumisemo huyooo we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16] na akija tu hapa kutachangamka sasa hivi@Thad anasemaga kizuri kula na nduguyo, kibaya pambana nacho mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmekuwa mkikimbia vipimo vya awali mpaka sasa mmeletewa kupimwa kwa Damu....
Damu ni kipimo cha kwanza tu. Wakiona mambo hayako sawa ni lazima wakonfemu na kidole [emoji85][emoji85][emoji85]Mmekuwa mkikimbia vipimo vya awali mpaka sasa mmeletewa kupimwa kwa Damu....
Pengine daktari mwanamke inasaidia kidogo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kile kipimo hapana kwakweli, bora nife kishujaa na tezi dume yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kile kipimo hapana kwakweli, bora nife kishujaa na tezi dume yangu.
Popoz saivi zishalala zimebaki bundiz.popoz
Damu ni kipimo cha kwanza tu. Wakiona mambo hayako sawa ni lazima wakonfemu na kidole [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Thad ana tumisemo huyooo we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16] na akija tu hapa kutachangamka sasa hivi
Yeah...Damu nadhani wanaangalia tu protini fulani hivi kama imezidi. Ikionekana unayo zaidi ya kiwango unaambiwa uende kwa uchunguzi zaidi...kidole na mengineyo....oooohhh
Aisee.Damu ni kipimo cha kwanza tu. Wakiona mambo hayako sawa ni lazima wakonfemu na kidole [emoji85][emoji85][emoji85]
Pengine daktari mwanamke inasaidia kidogo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Aisee hapana hata awe malaika.Pengine daktari mwanamke inasaidia kidogo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hapana hata awe malaika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]oooohhh