mafua huwa yananipa shida ya kukosa usingizi. Citrizen nikimeza zinaniletea kulegea mwili naamua kuwa macho rather than going for sleep medicationBinafsi nipo tuu sio mawazo ni kawaida yangu kutokuwa na usingizi mida hii sasa sijui wewe ni nini shida ebu tuambizane!!
Haroo mimi ni jiwe hapa kinachonikosesha usingizi ni MembeBinafsi nipo tuu sio mawazo ni kawaida yangu kutokuwa na usingizi mida hii sasa sijui wewe ni nini shida ebu tuambizane!!
Dawa ya mafua ni mazoezi,na kama unapiga vyombo (pombe) hupunguza tatizomafua huwa yananipa shida ya kukosa usingizi. Citrizen nikimeza zinaniletea kulegea mwili naamua kuwa macho rather than going for sleep medication
Kwa nini hujaenda kwa mangi?Me nisipokunywa silali kabisa! Kama hivi leo
Wanasema ukiwaza mida kama hii na kupata jibu basi hakuna kitakacho kushinda kuanzia utakapo amka hadi kulala tena!!Kama unafikiria mambo mengi mpaka mafaili yanagongana kichwani,usingizi lazima ukosekane
ha ha ha ha choma godoro kunguni wote watakufaKinachonikosesha usingizi ni hawa kunguni.
mafua huwa yananipa shida ya kukosa usingizi. Citrizen nikimeza zinaniletea kulegea mwili naamua kuwa macho rather than going for sleep medication
Dawa umepata ushindwe sasa!!Dawa ya mafua ni mazoezi,na kama unapiga vyombo (pombe) hupunguza tatizo
Muda wa usiku mnene ndio muda mzuri wa kutafakari kwa wale GTWanasema ukiwaza mida kama hii na kupata jibu basi hakuna kitakacho kushinda kuanzia utakapo amka hadi kulala tena!!
ngoja nijaribu mazoezi, pombe/vyombo hapana, sidhani. virus wafe kwa pombe, never, at least nimesoma virology to masters level nayaelewa kwa kiasi fulani!Dawa ya mafua ni mazoezi,na kama unapiga vyombo (pombe) hupunguza tatizo
Aisee hawa jamaa ni wauni asikuambie mtu!!Kinachonikosesha usingizi ni hawa kunguni.
Kazi hunayo?!Haroo mimi ni jiwe hapa kinachonikosesha usingizi ni Membe
Inategemea,mie napiga wine hapa,pua zote ni kavu hakuna hata tone la majingoja nijaribu mazoezi, pombe/vyombo hapana, sidhani. virus wafe kwa pombe, never, at least nimesoma virology to masters level nayaelewa kwa kiasi fulani!
Konyagi pia inasaidia!!Inategemea,mie napiga wine hapa,pua zote ni kavu hakuna hata tone la maji
Ni kweli,kwa wapiga vyombo watakuelewaKonyagi pia inasaidia!!
Kama unafikiria mambo mengi mpaka mafaili yanagongana kichwani,usingizi lazima ukosekane
Album 5 !!?Yaani hapa usingizi umegoma yaani kila nikijaribu vitu vinagoma ..nimemaliza album 5 bado kuzito
Kulala si muhimu kwa sasa,kwani ipo siku ya kulala 'forever'Yaani hapa usingizi umegoma yaani kila nikijaribu vitu vinagoma ..nimemaliza album 5 bado kuzito
That might be a temporary measure for minutes. najua kwenye pua kuna temerature ya chini inayoruhusu virus to thrive. They do not grow in hot temperatures. May be unaweza rise that temperature by drinking hot drinks, bia moto , wine moto etc and those that generate heat, As soon as you stop, temperature drops again and they wake up!Inategemea,mie napiga wine hapa,pua zote ni kavu hakuna hata tone la maji