JamiiForums Usiku wa manane

Kumbe ndio maana na wewe umegundua supu ya ulimi wa mamba![emoji848]

Niletee na mimi nivute pengine naweza kugundua dawa ya kifo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa ninavyokujua wewe ndio mtu wa kwanza kumshauri asiusogelee kabisa huu mmea.
Kwa haya mawazo ya kugundua dawa ya kifo, kuna siku ukishavuta utataka kumtafuta Mungu alipo umpe ofa ya balimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…