Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
aisee kakaa wewe waache haoo yani naongea kwa sauti ya chinichini.ila ya msisitizo wa south africa ni kama tani moja ya pickup hako kamzigo kwa macho kameshiba kunyanyua shidaaMpaka kuna studies kabisa za Anthropology kuwahusu hao wanawake wa Kizulu na Kixhosa. Sarah Baartman alileta msisimko sana na watu wakataka kujua ni kwa nini wanawake wa huko wanakuwa na maumbile ya aina hiyo.
View attachment 880847
jje's popote ulipo kipenziUmenitupa...
popo wa kimya kimya habari yako
safi nafurahi kukuona ukiwa buheri wa afya.Habari yangu nzuri. Za kupotea?
Sema tu prevalence kubwa ya UKIMWI ndiyo shida. Mara ya kwanza kufika huko ilikuwa shida.aisee kakaa wewe waache haoo yani naongea kwa sauti ya chinichini.ila ya msisitizo wa south africa ni kama tani moja ya pickup hako kamzigo kwa macho kameshiba kunyanyua shidaa
uwepo wao unasaidia kupunguza stress
safi nafurahi kukuona ukiwa buheri wa afya.
ohoo kumbe aisee mmh ila kuna nchi mkikutana wa africa mnajijua mkoo poaa [emoji41][emoji41][emoji41]Sema tu prevalence kubwa ya UKIMWI ndiyo shida. Mara ya kwanza kufika huko ilikuwa shida.
View attachment 880849
Ni wazuri,kinachotugarimu ni maradhi tuSema tu prevalence kubwa ya UKIMWI ndiyo shida. Mara ya kwanza kufika huko ilikuwa shida.
View attachment 880849
heri utokee maeneo haya ukisafishe hata kidogo πππNashukuru Mungu hajaniacha.
Bado kichwa kichafu?