JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

.
tapatalk_1518085270146.jpeg
 
Stori zenyewe hapa zina wenyewe. Siyo rahisi kupazoea hapa. Ukiwa mgeni hapa utapata tabu sana kwa sababu watu wanaongea wanafahamiana. Utaanzaje kuingilia mazungumzo? Hapa unaingia unapiga mbinja usingizi ukikujia unakwenda zako kulala unawaachia wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
wapo ambao wako friendly, ukiwaanzishia na wao wanakuendelezea
 
Back
Top Bottom