Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,162
- 97,883
Sio mipaka,Mapaka /manyauWewe huwa hulali unakesha kulinda mipaka
Sio mipaka,Mapaka /manyauWewe huwa hulali unakesha kulinda mipaka
Nipo ngoja nikalogee jaman tutaonana next weekMuke ya muganga upo?
Huku sisi ndio huwa tunapatumia kwa ule msemo wetu "Safari moja huanisha nyingine". Sasa unakuta mazungumzo yakianza kunoga watu wanajitokeza tokeza kwa malike kede kede na mengineyo...daaah !Hongera kwa kuliona hili ,uko wapi wakupe kinywaji baridi utumiacho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nikupe jina la mtu ninayetaka unisaidie kurogaNipo ngoja nikalogee jaman tutaonana next week
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unasema tu ili tuwapishe mfanye yenuHuku sisi ndio huwa tunapatumia kwa ule msemo wetu "Safari moja huanisha nyingine". Sasa unakuta mazungumzo yakianza kunoga watu wanajitokeza tokeza kwa malike kede kede na mengineyo...daaah !
Kweli kabisa,uko sawa mkuuHuku sisi ndio huwa tunapatumia kwa ule msemo wetu "Safari moja huanisha nyingine". Sasa unakuta mazungumzo yakianza kunoga watu wanajitokeza tokeza kwa malike kede kede na mengineyo...daaah !
Huu uzi kwa sasa ni sehemu ya watu kupeana codes, mpk ss walinzi waandamizi tunashindwa kufanya kazi yetu vzr[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unasema tu ili tuwapishe mfanye yenu
upo wapi?Jana, Leo na Kesho nipo.
upo wapi?
Ndio maana ukaitwa mtu mzima,hivi ndivyo unatakiwa ung'amue mambo mepesi kama haya ![emoji23] [emoji23] [emoji23] Unasema tu ili tuwapishe mfanye yenu
HahahaNdio maana ukaitwa mtu mzima,hivi ndivyo unatakiwa ung'amue mambo mepesi kama haya !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na nyie fanyeni kazi kwa kutumia codesHuu uzi kwa sasa ni sehemu ya watu kupeana codes, mpk ss walinzi waandamizi tunashindwa kufanya kazi yetu vzr
Huu uzi kwa sasa ni sehemu ya watu kupeana codes, mpk ss walinzi waandamizi tunashindwa kufanya kazi yetu vzr