Najikubali sana ila sipendi kusifiwa hasa hadharani. Sifa zina madhara yake,mara nyingi humfanya mtu au humpelekea mtu kufanya yale yaliyo nje ya uwezo wake.Aisee
wewe ni gt mkuu, jikubali bana
unakamua hata maziwa ya mbuzi
Hatari sana kusifiana sifiana hadharani kwa ufupi ni fitna na ni sumu inayoua tararibuuu. Ukija kustuka ushaharibu mambo kibao.