JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmmh labda mkuu.ila mimi hua nadhani huko nje mnaishi life fulani ambalo huku wanaishi wachache.
Hili ni moja ya tatizo linalowasumbua vijana wengi sana huko home. Lakini unaweza tu kujua hali ya huku ilivyo. Wasomi na watu wenye elimu za juu za dini kama dr Slaa alikuwa hapa. Nadhani huo ni mfano mzuri wa nini kinachotokea huku. Hauwezi kula bila kufanya chochote na hakuna kuhurumiana huku. Mali yote ya huku inapatikana huko home. Hawa jamaa wanatoka kuja huko na wanapata hela. Ukija huku bila kuwa na shughuli halisi utafanya shughuli ngumu na unaweza kuishia kuwa mtumwa au ukahusika na biashara za ajabu ajabu. Huyo babu anayeitwa Le Mutuz anajua mambo mengi. Ni vyema kuwauliza watu wa aina hiyo kabla hujachukua uamuzi.
 
You’re my fantasy
My only desire
Kugutekereza nijoro
Bituma ntasinzira
Cause you make me fall in love
Darling
Darling
If you touch me one more time
I might loose my mind
Baby it’s too much
Can we go slowly?

Cause I can’t take it
Cause I can’t take it
Cause I can’t take it
 
Back
Top Bottom