JamiiForums Usiku wa manane

Montreal 17:05 (Jumamosi) Bongo 00:05 (Jumapili) haki ya Mungu kuna raha Bongo, yaani hata Kwenda kwa Mungu tunawatangulia hawa white ngozi!
Tunawatangulia muda lakini wametushinda kila kitu
Kutangulia si kufika haha πŸ˜€ πŸ˜€
 
safi mkuu km unavyojua lindo la weekend huwa ni tam sana
Ni kweli mkuu, halichoshi kabisa ila mara nyingi number kubwa ya walinzi inakuwaga ni ya wanaume. Wale wenzetu wengi wanakuwa wapo kwenye appointments πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ni kweli mkuu, halichoshi kabisa ila mara nyingi number kubwa ya walinzi inakuwaga ni ya wanaume. Wale wenzetu wengi wanakuwa wapo kwenye appointments πŸ˜€ πŸ˜€
kweli kabisa ila lindo la leo nasindikizwa na kigodoro hapa jirani basi raha tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…