JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mpaka baba mwenye nyumba kaja kunichungulia doh!

4. Haina ushemeji ......... tunakulaga
5.Mwaname .............mashine
6.Unaringa una nini .......... Umekopa vikoba/wigi la kuazima.
hiyo number 4 hebu rudia tena sijasikia vizuri
 
Nilikua nayo Tecno p5 mwaka 2015 nikauza nikarudi kwenye Samsung tena mpaka leo hua ni samsung tu
Samsung inanikwamisha upande wa charge tu mkuu, mimi nayeshinda na earphone maskioni najikuta masaa manne tu zero, ila kuna katecno niliwahi kusafiri nacho dar hadi iringa nikafika nacho na 20% charge afu fulltime nabang na midundo samtime nacheki series kwenye phone
 
Yeah hilo ndio tatizo la samsung zinazidiwa hapo ni itel wamepoa simu inakaa na moto siku 3 data on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…