[emoji23] [emoji23] [emoji23] Viwanda vya nguo vijipange upyaWahenga wa kizazi kipya aisee ni shida, kwanza sipati picha hizo nguo watakazokuja kuvaa hawa vijana, kama sahv tushaanza kuzichanachana, hizo za baadae zitakuwa kama yale matambala ya deki [emoji16][emoji16][emoji16]
Finaly umechangia hojaKwema kabisa yani
HahahaUnataka uongeze wa 3? Ama kweli kichwa chako sio kisafi
Hapo sawaSawa Bibie.....Naunga mkono hoja...
Hahaha sure mkuu
Internet ya zamani ilikua tamu sana.kuliko siku hizi kuingia internet imekua kitu cha kawaida na cha kila mtu
huna neno kwa mtu akupendaeMbona hivyo!!!
Salama tu mkuu vipi uko poa ?Niaje mkuu? Habari za mida?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Zamani ulikuwepo luca au unaitikia tu?Hahaha sure mkuu
Internet ya zamani ilikua tamu sana.kuliko siku hizi kuingia internet imekua kitu cha kawaida na cha kila mtu
Nilikuwa nasubiri usiku wa mananeFinaly umechangia hoja
Uko tayari kuwa bi tatu?Hahaha
Sisi boarding tunapiga chimbo tunazama town tunapururua pocket money afu speed yenyewe slooow ila ndo tunaona iko fasta hivyo, mesej unatuma leo unakuja kureply siku nne au tano ukipata upenyo [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha sure mkuu
Internet ya zamani ilikua tamu sana.kuliko siku hizi kuingia internet imekua kitu cha kawaida na cha kila mtu
Nilikuepo [emoji16] hapo tunaongelea kipindi cha miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka 2005,[emoji23] [emoji23] [emoji23] Zamani ulikuwepo luca au unaitikia tu?
Ameunga mkono hoja pia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Finaly umechangia hoja
Aisee na kweli ni saa nane. Karibu sana.Nilikuwa nasubiri usiku wa manane
Mambo fyde!Niaje mkuu? Habari za mida?
I'm speechless kwakwelihuna neno kwa mtu akupendae
Ukifurahi wewe ndio limefurahi Taifa...Hapo sawa
Dadeq enzi za kudownload kitu afu unaambiwa na internet exploer 3 weeks 5 days,20 minutes remainSisi boarding tunapiga chimbo tunazama town tunapururua pocket money afu speed yenyewe slooow ila ndo tunaona iko fasta hivyo, mesej unatuma leo unakuja kureply siku nne au tano ukipata upenyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Waliosoma boarding utawajua tu![emoji23]Sisi boarding tunapiga chimbo tunazama town tunapururua pocket money afu speed yenyewe slooow ila ndo tunaona iko fasta hivyo, mesej unatuma leo unakuja kureply siku nne au tano ukipata upenyo [emoji23][emoji23][emoji23]