maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Kuna kaukweli hapa MkuuKuna ukweli wowote?
Things that keep you up at night: loneliness, cold, heat, hunger, late night texting, memories, over thinking, worries, the internet.
Kuna kaukweli hapa MkuuKuna ukweli wowote?
Things that keep you up at night: loneliness, cold, heat, hunger, late night texting, memories, over thinking, worries, the internet.
japo wengine tuna matatizo tu ya usingiziLoneliness ,worries na over thinking ni kweli kabisa
nini kimekuweka macho hadi mda huuKuna kaukweli hapa Mkuu
weka list ya movie's za leoMkuu, kifupi nimekamilka hapa
Tutavaa si wanawakerangi ya kijani je?
HahahahaSana tu
Chato nzima itatetema
Mkuu kitu kama mawazo na upweke huweza kusababisha tatizo la kutokupata usingizijapo wengine tuna matatizo tu ya usingizi
wengi wanakosa usingizi kwa ajili ya late texting na internetMkuu kitu kama mawazo na upweke huweza kusababisha tatizo la kutokupata usingizi
😀😀 tafuta movie ambayo ina sex scenes huwezi kuchokakwa Mara ya kwanza Leo nimeangalia muvi hamu ikaisha had I nikachoka
Movie gani hiyo itakuwa haikuwa nzurikwa Mara ya kwanza Leo nimeangalia muvi hamu ikaisha had I nikachoka
Noo sitak usumbufu mie wakat sina was kunituliza😀😀 tafuta movie ambayo ina sex scenes huwezi kuchoka
List ya leoweka list ya movie's za leo
nilikua bachek series ya 24hrs. kidogo I iishe kwa SKU mojaMovie gani hiyo itakuwa haikuwa nzuri
Ana shida kidoogo so nimempa lkizo
hapa kama choo kipo nje inabidi mtu utafute kopo la kukojoleaList ya leo
1.Inoperable
2.Lake Placid: Legacy
3.I Spit on Your Grave
Ni kweli anachokisema usiku kama huu movie kama hizo zinafaa kidogo sio mbaya [emoji4]Noo sitak usumbufu mie wakat sina was kunituliza