JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

40476dd30c46ff5e6dc806b55c08b373.jpg
 
hiki kimvua huku kwetu kitanifanya nisaliti lindo muda si mrefu
kaza chief utakosa ajira isiyo na mshahara[emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23]niliiona ile, jamaa alizingua sana nae
Mobutu angemfukuz na angetania
By the way .yeye alikua na right to deflower, hii ni sheria ambayo ma bikra alikua anapita nao then ndio waolewe[emoji23] so angemuon jamaa bwege sana kashindwa kutumia cheo

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba unikumbushe....

Ok, usiwaze mama.lakini pia ingefanyika namna.Vip ulipata msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom