Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Haha chukua hydrochloric acid fumba macho meza, hakika utalala forever 😀 😀
Mipaka ipi? Kwani Yale mashamba ya Kahawa yanamipaka? Au Unaongelea impaka ipi Kaka
Haha jibu zuri hili utadhani ndo umetoka maombini. He never expected such a reply from ya I betMungu Akubariki...akupe maisha mema yenye Baraka tele...kwa kuonyesha Upendo kwa Dada yako Mimi...
Hata mimi nakuwa nahisi macho mazitoMkianzaga hivi,mm usingizi unakuja haraka kweli kweli
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ngoja niyaoshe hayo macho yako mazuri ili yasiwe mazito. Au hutaki usiku wa manane uambatane na maneno ya kukufanya uelee katika dunia ya peke yako yenye utulivu mwananaaa? 🙂 🙂Hata mimi nakuwa nahisi macho mazito
Umemisiwa atiMipaka ipi? Kwani Yale mashamba ya Kahawa yanamipaka? Au Unaongelea impaka ipi Kaka
Hapana maneno matamu na kazi vitu viwili tofauti nipo lindo tuongelee changamoto zinazotukabili sisi walinziNgoja niyaoshe hayo macho yako mazuri ili yasiwe mazito. Au hutaki usiku wa manane uambatane na maneno ya kukufanya uelee katika dunia ya peke yako yenye utulivu mwananaaa? 🙂 🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah changamoto ni nyingi especially za kiafya. Ila kusinzia kidogo inaruhusiwa my dear.Hapana maneno matamu na kazi vitu viwili tofauti nipo lindo tuongelee changamoto zinazotukabili sisi walinzi
Me ni mfanyakazi mtiifu huwa silali.Aaah changamoto ni nyingi especially za kiafya. Ila kusinzia kidogo inaruhusiwa my dear.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank God it was wonderful. Kwa upande wako je?Me ni mfanyakazi mtiifu huwa silali.
Siku yako Ilikuwaje leo?
Mimi pia namshukuru Mungu
You're welcome saana. A beautiful woman like you must be treated awesomely. Jiandae kwa mambo mazuri n you'll never regret being here with me amu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi nije nikusaidie lindo? Nahamu kulinda nawe leo 🙂Mimi pia namshukuru Mungu
Nalinda jf leo ndio nilipopangiwa
Uwasikie vipi wakati uso wako umepambwa na tabasamu zuri huku moyo umetawaliwa na furaha na amani?Kulinda lindo huku unapewa maneno matamu kama haya hata mbu siwasikii, sasa mkuu mambo gani mazuri njiandae? he he he hatimae nimeonekana leo jamani
Haha naimani zana zote za kukabiliana na wapiga deo na wanyang'anyi wa Jf unazo. Lindo jema mamiiNalinda jf leo ndio nilipopangiwa