Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Adha gani tena hata hajaniagaNdugu yangu kuna adha kaipata ila soon atakuwepo kwa hewa
Vuta subra
Sent using Jamii Forums mobile app
Adha gani tena hata hajaniagaNdugu yangu kuna adha kaipata ila soon atakuwepo kwa hewa
Vuta subra
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa. Hujani miss?Uko poa?
Haya sawaNiko hapa hapa lindoni ,ila kdg nakua msomaji ,naweka kitu sawa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kidogo sio saaaaaaanaNiko poa. Hujani miss?
Try kum call direct....Adha gani tena hata hajaniaga
Nitafanya hivyo nimemmiss sanaTry kum call direct....
Ya kawaida tuuu mamii bt ilikuwa gafla tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua yeye ndio kira kitu kwakoNitafanya hivyo nimemmiss sana
Mkuu, mi najifurahisha tu hapa kutafuta usingizi; na siko kwenye haya mambo kihivyo. Unataka nikupe links ukayasake mwenyewe?
Jamaniiii [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] utan wa ngum huu sioJamaniiii [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji16][emoji16]
Kweli? Nilijua kashanisahau na kapata mwingineNajua yeye ndio kira kitu kwako
Hata yeye juz wakat naongea nae aliniambia about ww kuwa kakuham sana nikamwambia nitamuwakilisha kuhusu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app