JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

1bd237d2-7a74-492a-99a2-7ee86e13c457.jpg
 
Nikitoka ziwan ntakupitishia pale kwenu

Juz nilipita nkamkuta bibi yako nikamsaidia kuchanja kuni nkakuulizia nkaambiwa umeenda mton kuteka maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bibi nae kwani kila kitu lazima aseme!!
Nipitishie nitashukuru kweli nimechoka na maharage.

Mtaa mzima tumejua unatoka na Tunu kuna ukweli?
 
Too much is harmful .huo mzigo mkubwa mno plus umri wake mkubwa ndo maana mi namuona normal
Gigy alinipaga tabu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana umri gani huyu binti? Keshavuka 25 kweli? Mzigo unakuogopesha mkuu? Mwanaume ni kupambana bana kulinda heshima ya ukoo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahaha bibi nae kwani kila kitu lazima aseme!!
Nipitishie nitashukuru kweli nimechoka na maharage.

Mtaa mzima tumejua unatoka na Tunu kuna ukweli?
Ah ah ah ah uyu manzi juz nilimsimamisha kule mtoni karibia na ziwan

Baadhi ya watu wakaniona wakais ni demu wangu kumbe nilikuwa namtwisha ndoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana umri gani huyu binti? Keshavuka 25 kweli? Mzigo unakuogopesha mkuu? Mwanaume ni kupambana bana kulinda heshima ya ukoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo naskia yuko 30 .as for mzigo aisee huko ni kujitafutia kifo cha mapema mkuu[emoji23] it is better to live as a coward than to die like a hero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom