Wenu sote kivipi? ,humu mnaitana tu Leo week end ,mie mlinzi mwandamizi humuKwani wewe si wetu sote?
mtu chake usirudi chama
Kweli Lakini, nimewatupa....Wenu sote kivipi? ,humu mnaitana tu Leo week end ,mie mlinzi mwandamizi humu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatimaye zamu imewadia tena la kukaa lindo hizi siku mbili hadi nilianza kunenepa.
Sawa mm sina week days wala week endKweli Lakini, nimewatupa....
Weekdays sionekani....
Nitajitahidi sasa
Yy hawezi kukukatia?
Natamani ningekuwa Kama wewe...siku zote zinafananaSawa mm sina week days wala week end
[emoji767]101-03-821.M|T|C
wewe ni mrembo sana rafikiNatamani ningekuwa Kama wewe...siku zote zinafanana
Ahsante sana
Hahaha, ulinzi si mchezoNatamani ningekuwa Kama wewe...siku zote zinafanana
Lindo Mr.