JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Daah aisee pambana nao hapa mimi kesho mapema tu yaani nina masaa mawili na kesho nasafari ya nairobi mwendo wa bus hapa nishapiga mazoezi yakuyapa sugu makalio

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh [emoji23] safari za mbali zinaboa sana ila bora sikuhizi kuna charger na TV , ma bus ya kwenda kigoma ukipanda utakoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom