MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,752
- 71,654
Njemba upo wewe ???GOD KNOWS
Njemba upo wewe ???GOD KNOWS
Saa nane kamili
Sababu ni saa nane
[emoji252] [emoji479]
Wewe tuKwa hiyo naweza kusema usiku wa masaba nikimaanisha saa saba?
Nani anawakataza?
Mbona mmoja naijua ID yake ya kujifake
[emoji252] [emoji479]
Sawa vmogHuyo anakosea, huwezi kuwa objective kama ukiwa member na unajichanganya na sisi, labda in very rare cases.
Wewe tu
[emoji252] [emoji479]
Leo wewe ndiyo tunaenda kulinda kule geti dogo?
Maana nimeambiwa atakuja mtu, nadhani ndo wewe
Sawa vmog
[emoji252] [emoji479]
Mikono inakataa kuandikaVmog ni kitu gani?
Jamani naweza kupata msaidizi?
Huyo analinda ndani na mimi..Leo wewe ndiyo tunaenda kulinda kule geti dogo?
Maana nimeambiwa atakuja mtu, nadhani ndo wewe
Usiku wa manane logically ni saa nane na dakika nane na sekunde naneHivi usiku wa manane ni saa ngapi?
Na kwa nini uliitwa usiku wa manane?
Mod
[emoji252] [emoji479]
Nani sasa anaisaidiaWewe ndo msaidizi mwenyewe, kule ulinzi wake siyo mgumu, beba birika ya kahawa.
Nina kashata za kutosha hapa.