Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Wanga wezi na michepuko ndio mida yao hiyo....Saa nane kamili
Sababu ni saa nane
[emoji252] [emoji479]
Huyo analinda ndani na mimi..
Hapana sio gumu, hukupenda tu kulielewa
Kuna movement zinaendelea huko njeWanga wezi na michepuko ndio mida yao hiyo....
Nani sasa anaisaidia
Dawa yao nakuja nayo..Kuna movement zinaendelea huko nje
Mpaka tumbo limenishika
[emoji252] [emoji479]
Usiku wa manane logically ni saa nane na dakika nane na sekunde nane
Kwa sababu ya hayo manane
Sent using Jamii Forums mobile app
Walafi sana..Kuna zamu bosi, kule kwa mabosi wanachagua wao wanaye taka alinde siku hiyo.
Mimi hapa ndo mlinzi mkuu kule, tunaenda kulinda wote.
Sema nitarudi huku kukagua, ntakuacha kwa muda.
Najikaza nisisinzieDawa yao nakuja nayo..
Wacha nimalize shift yangu...
Bora aje
Yaaani saaa 08:08:08?Usiku wa manane logically ni saa nane na dakika nane na sekunde nane
Kwa sababu ya hayo manane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaniacha lakini?
Kama kawaida hachelewi, kufumba na kufumbuaaaa si huyoBora aje
[emoji252] [emoji479]
Kwanini unaniacha lakini?