Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,705
- 96,743
Hahaha, siku nyingine Mkuu ,usihofu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, siku nyingine Mkuu ,usihofu
Sio kutembea ila kwenda kusaka saka tuuuuHahaha ,tuendelee kulinda hapa Mkuu, we unapanga kutembelea ulaya bana ,mie nina mchongo gani kiongozi
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Oooh vzr sana
Tutafuatana popote nitakuwa nyuma yakoNitaenda nae nampenda mno
Hahaha, hebu endeleeni kumchombeza huyo binti, nikiwasoma usingizi unakimbia kbs
Ntakutafuta ndugu yangu plz usinikimbia mana siunajua vijana tunashida sana na huwez kumbana ela ila tunaombana michongo tuuuuHahaha, siku nyingine Mkuu ,usihofu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Wee ni unabavu wangu siwez acha nyuma. Kwa dhiki na faraja utakua pembeni yangu until afterlifeTutafuatana popote nitakuwa nyuma yako
OK,safi sana,kila la Heri Mkuu ,ktk safari yenuNitaenda nae nampenda mno
02:12 AM
Me nikiwasoma na mishe zenu za njee usingizi unapaa kabisaHahaha, hebu endeleeni kumchombeza huyo binti, nikiwasoma usingizi unakimbia kbs
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ni kweli.Ntakutafuta ndugu yangu plz usinikimbia mana siunajua vijana tunashida sana na huwez kumbana ela ila tunaombana michongo tuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo inavyotakiwaTutafuatana popote nitakuwa nyuma yako
Nakuahidi one day unatashuhudia harusi yetuOK,safi sana,kila la Heri Mkuu ,ktk safari yenu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ah ah ah ah ah ah ah ahMe nikiwasoma na mishe zenu za njee usingizi unapaa kabisa
[emoji106] [emoji120] ,nitachangia $ 150 na kazi ngumu ,HahahaNakuahidi one day unatashuhudia harusi yetu
Maneno kuntu nitake nini zaidi ni kama nimeokota dhahabu ubungoWee ni unabavu wangu siwez acha nyuma. Kwa dhiki na faraja utakua pembeni yangu until afterlife
Hahaaaa utasugua sufuria zilizobakia ukoko wa pilau[emoji106] [emoji120] ,nitachangia $ 150 na kazi ngumu ,Hahaha
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Duh Mkuu kutafutana tenaNtakutafuta ndugu yangu plz usinikimbia mana siunajua vijana tunashida sana na huwez kumbana ela ila tunaombana michongo tuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upendo tu AsteliaManeno kuntu nitake nini zaidi ni kama nimeokota dhahabu ubungo