Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Ah ah ah ah ah ah ahNipo naona malove love tu humu,mie si unajua ni mdunguaji nipo angle natazama vijana wanavyobembelezana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ah ah ah ahNipo naona malove love tu humu,mie si unajua ni mdunguaji nipo angle natazama vijana wanavyobembelezana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Duh, wkt naona mnapanga kwenda ulaya hapo na totoz Mkuu ,mie sina dili ,mzururaji tu huku[emoji23] [emoji23]Hahaaaa ila mkuu unaroho mbaya nilikuomba unipe madili ya kuondoka Magufuliand uka mute
Nakukubali pia shem wangu
hahahahaNipo naona malove love tu humu,mie si unajua ni mdunguaji nipo angle natazama vijana wanavyobembelezana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Msihofu,tusio onekana tupo, nyie jivinjalini jamvini ,nawalinda tokea angle ya mbali
Nami pia nashukuru kwa hili siku zoteSina neno zaidi ya kumshukuru Mungu kukuleta kwenye maisha yangu
Hakuna safar hapo bossDuh, wkt naona mnapanga kwenda ulaya hapo na totoz Mkuu ,mie sina dili ,mzururaji tu huku[emoji23] [emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Tupe maujanja bass ya kwenda mbeleeMsihofu,tusio onekana tupo, nyie jivinjalini jamvini ,nawalinda tokea angle ya mbali
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Usalama upo kadri ya apendavyo muumba.Nipo mkubwa. Usalama upo?
Acha zako ww fanya ivyo tuuuu mwaga mambo hapaDuh, wkt naona mnapanga kwenda ulaya hapo na totoz Mkuu ,mie sina dili ,mzururaji tu huku[emoji23] [emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Maujanja yapi tena mkuu
Jamaa kuwa fair tupeane bass michongoMaujanja yapi tena mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kuna nini sasa MkuuHakuna safar hapo boss
Tulikua tunadanganyana tuKuna nini sasa Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ushapendwa halafu unataka safari, umuache murembo huyo ?Sina neno zaidi ya kumshukuru Mungu kukuleta kwenye maisha yangu
Nitaenda nae nampenda mnoUshapendwa halafu unataka safari, umuache murembo huyo ?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha ,tuendelee kulinda hapa Mkuu, we unapanga kutembelea ulaya bana ,mie nina mchongo gani kiongozi
Safari safari mapenzi mapenziUshapendwa halafu unataka safari, umuache murembo huyo ?
[emoji767]101-03-821.M|T|C