Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Nashukuru nami pia nakuahidi hivyoKukuheshimu,kukupenda na kukusikiliza ndicho nachoahidi kukupatia
Nashukuru nami pia nakuahidi hivyoKukuheshimu,kukupenda na kukusikiliza ndicho nachoahidi kukupatia
Hahahaha utakuwa umenisaidia pakubwa nakupenda sana shem wanguAhad ni den na mshikaj kwakuwa kasoma sana din ivyo anajua nin maana ya kiapo
Mi nikimuona atanga tanga huko namtia mikwenzi akija kwako Akuoneshe minunduu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie neno nifurahii ANashukuru nami pia nakuahidi hivyo
Karibu ndugu yangu01:36, nakutana na member wanapendana doh
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Uzuri ananiamini
NakupendaNiambie neno nifurahii A
Unajua nin mi nakukubal na mshikaj wangu anakukubalHahahaha utakuwa umenisaidia pakubwa nakupenda sana shem wangu
A good Samaritan how are you??02:50
Nipo naona malove love tu humu,mie si unajua ni mdunguaji nipo angle natazama vijana wanavyobembelezana
Sina neno zaidi ya kumshukuru Mungu kukuleta kwenye maisha yanguNakupenda
Hahaha, Merci
Hahaaaa ila mkuu unaroho mbaya nilikuomba unipe madili ya kuondoka Magufuliand uka muteNipo naona malove love tu humu,mie si unajua ni mdunguaji nipo angle natazama vijana wanavyobembelezana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji120] [emoji120] ,Merci ,mko vzr vijanaPoleee sana
A good Samaritan how are you??