bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Jamani mwenzenu leo huku nakesheshwa kwa lazima haki ya mama hii ndoa na serikali nahisi inaviashiria vya kuvunjikaHahahahaa ilikuwa balaaa,.
Jamani mwenzenu leo huku nakesheshwa kwa lazima haki ya mama hii ndoa na serikali nahisi inaviashiria vya kuvunjikaHahahahaa ilikuwa balaaa,.
Nakuaminia jiranii yangu wa kudumu,.Kwa heshima uliyonipa nipe muda kidogo wa kulifikiria hilo jina
Kisaa??Jamani mwenzenu leo huku nakesheshwa kwa lazima haki ya mama hii ndoa na serikali nahisi inaviashiria vya kuvunjika
sio pampus tu namfungashia kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108]andaa pampas tiakee
nipo baba sijachungulia tuMama mwenye nyumba (inna) karibu acha kuchungulia hapa ni kwako
mpk kucheeeeMpaka kokorikooooo Inna
Komaa na Mwenge Mkuu...Eti tumepewa amri ya kukesha na mwenge just kwa kuwa tumeolewa na govt.Hii awamu naiona kama miaka haisogei kabisa
Funguka kiongozi, kwenye wengi hakuna linalo shindikanaJamani mwenzenu leo huku nakesheshwa kwa lazima haki ya mama hii ndoa na serikali nahisi inaviashiria vya kuvunjika
Mambo ni hiviiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] [emoji23] [emoji23]oyoooooh wooozer wooozer
Ya kizungu hayana vifungo?Nakuaminia jiranii yangu wa kudumu,.
kesha tu wewe si bachelor sugu?[emoji28]Jamani mwenzenu leo huku nakesheshwa kwa lazima haki ya mama hii ndoa na serikali nahisi inaviashiria vya kuvunjika
Yaani naww tiake nnavyokujua unavyopenda watoto yamyam,.lol mbona ntafaidi mm jomoniiii[emoji16][emoji108]sio pampus tu namfungashia kabisaa
Karibu mama la mamanipo baba sijachungulia tu
@Inna [emoji8]sio pampus tu namfungashia kabisaa
Watumishi wa umma tumeamriwa kukesha kwenye mwenge na ni amri na mwenye Uhuru aandike barua yaani toka nimeajiriwa sijawahi kuliona hili kuwa ni amri kukesha kwenye mwenge.Funguka kiongozi, kwenye wengi hakuna linalo shindikana
Wouuzzzerrrrr[emoji75]mpk kucheeee