Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,056
Yule mtoto banaHahahaha mkuu unanisingizia bhana mi Jana si nilimkatalia asije kwangu mbele yako nikamwambia mi bachelor hivyo badala ya kuja kula asije jikuta analiwa yeye.
Somehow kwa standadi za kusini mwa jangwa la saharaNamsikia juu juu sana, ni celebrite sana ee...
Kiza kinene mkuu sina nijualo aisee.Yule mtoto bana
Hivi anaishi mkoani ?
Sawa, ngoja kesho nimsubiri humuKiza kinene mkuu sina nijualo aisee.
Sio mbaya bana ya kutafutia mkateSomehow kwa standadi za kusini mwa jangwa la sahara
Ila kwa sasa liko likizo kiaina, maana mali zimehamishwa.Hapo sawa, linatakiwa liimarike hivyo kila siku
Hivi dar nzima mmeshindwa kuvuta jiko lile ?Sio mbaya bana ya kutafutia mkate
Ukiona anachelewa lindoni mfwate kwa Inbobo tu mkuu.Sawa, ngoja kesho nimsubiri humu
Mapopo yameshiba, kwa hiyo yamepumzikaUzi umepoa sana
[emoji23]Mapopo yameshiba, kwa hiyo yamepumzika
Mengine yapo yanafanya reproduction ili yaongeze ukoo maana huu ndo msimu wake.Mapopo yameshiba, kwa hiyo yamepumzika
Hahaha sera ya mkuu wa nchi ya kufyatuanaMengine yapo yanafanya reproduction ili yaongeze ukoo maana huu ndo msimu wake.
Hahaha[emoji23] wadada wa JF naskia waoga wa PMUkiona anachelewa lindoni mfwate kwa Inbobo tu mkuu.
Hahaha, kweli mkuu.Mengine yapo yanafanya reproduction ili yaongeze ukoo maana huu ndo msimu wake.
Swaga zako tu mkuu...Hahaha[emoji23] wadada wa JF naskia waoga wa PM
DonWazee wa hakuna kulala za asubuhi...
Kuna kipindi nilikuwa najua kwamba ana demuAmeolewa?
watakuwa wametumiss sana wakimbizi waoNipo busy mpaka najiogopa, yaani JF naingia kwa kulishia.
Nadhani nitarudishwa cheo nipewe Villager.
Nambie