Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Hamjatoa sadaka wala zaka, madhabahuni kwa Bwana hamna kitu. Ndio maana nimelala njaakwanini tena?
Hamjatoa sadaka wala zaka, madhabahuni kwa Bwana hamna kitu. Ndio maana nimelala njaakwanini tena?
Hapana ratiba hapa inaonyesha ni ww na Mkongomani Lucas hivyo sie tunawapa kampani tu muda wwte tutawaachia lindo na mkilala shauri yenu misukule ya Mshana ikitoroka mnachukuliwa nyie.Leo zamu yako, kwahiyo usithubutu kuacha lindo![emoji12]
Sikuamini, kengele ya hatari ishaaza kugonga kichwani mwanguMbona waguna ?
Oops Npe Namba Yako Ya Mpesa NikutumieHamjatoa sadaka wala zaka, madhabahuni kwa Bwana hamna kitu. Ndio maana nimelala njaa
Lindo katoroka afande mbwa, itakuwa mimi? Njaa ikipungua tu nalala zanguHapana ratiba hapa inaonyesha ni ww na Mkongomani Lucas hivyo sie tunawapa kampani tu muda wwte tutawaachia lindo na mkilala shauri yenu misukule ya Mshana ikitoroka mnachukuliwa nyie.
Hahaha we njoo tu,mi mtoto wa sheikhSikuamini, kengele ya hatari ishaaza kugonga kichwani mwangu
Basi sawaHahaha we njoo tu,mi mtoto wa sheikh
Hahaha,mkuuHapana ratiba hapa inaonyesha ni ww na Mkongomani Lucas hivyo sie tunawapa kampani tu muda wwte tutawaachia lindo na mkilala shauri yenu misukule ya Mshana ikitoroka mnachukuliwa nyie.
User name yako ina maana gani ?Basi sawa
Hayo ndo maneno tuma 0123 456 789 Jina litakuja Thad NyansyaOops Npe Namba Yako Ya Mpesa Nikutumie
Jina langu hiloUser name yako ina maana gani ?
I guess mhusika ana kitembe hivyo INA maana ya Sad ila yy ndo anasema Thad,[emoji1] [emoji1] [emoji1] kiddingUser name yako ina maana gani ?
Napata shidaa sana dadaNilikuonya mdogo wangu usiolewe na mshana wewe ukang'ang'ania sasa ona unayoyapitia![emoji23]
Hahaha mkuu SAD si jina la kiume hiloI guess mhusika ana kitembe hivyo INA maana ya Sad ila yy ndo anasema Thad,[emoji1] [emoji1] [emoji1] kidding
Wanataka kuja kuchat jfHahahahaha hiyo misukule yako kiboko aisee au umeifunga CCTV camera hivyo unaiona inavyotaka kutoroka nn?
Kuna mtanzania anaitwa Thad ? Mkuu you are not seriousJina langu hilo
Ngoja niotee za mwanzoni hapo maybe ntakupataHayo ndo maneno tuma 0123 456 789 Jina litakuja Thad Nyansya
Ni watanzania wachache wanaotumia majina ya asili ya kiafrika wengi wetu bado tunatukuza majina ya wakoloni wetu wa kizungu na kiarabu. Wewe ukiwa mmoja wapo, hivyo usinishangae kuitwa Thad[emoji12]Kuna mtanzania anaitwa Thad ? Mkuu you are not serious