bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Aku kwangu usije si unajua mi bachelor sasa badala ya kula usije ukaliwa ww bure.Nitalinda vipi nikiwa na njaa? Wacha tu nikale kwa Luca au nije kula kwako?[emoji12]
Aku kwangu usije si unajua mi bachelor sasa badala ya kula usije ukaliwa ww bure.Nitalinda vipi nikiwa na njaa? Wacha tu nikale kwa Luca au nije kula kwako?[emoji12]
Hahahahaha hiyo misukule yako kiboko aisee au umeifunga CCTV camera hivyo unaiona inavyotaka kutoroka nn?Naota misukule inaniita
[emoji15] [emoji126] [emoji126]Aku kwangu usije si unajua mi bachelor sasa badala ya kula usije ukaliwa ww bure.
Unaonaje nikufate tu na ki spacio changu ?Hapo sawa, haya nielekeze nashukia kituo gani cha basi kabla ya kupanda bodaboda
Uje hukuNitalinda vipi nikiwa na njaa? Wacha tu nikale kwa Luca au nije kula kwako?[emoji12]
Hapana nitakutia hasara ya mafuta, chakula kinanitosha wacha nipambanie tumbo languUnaonaje nikufate tu na ki spacio changu ?
Hivi wewe na seseseko mu ukoo mmoja?Uje huku
[emoji7] nikupeti peti
[emoji23] mi sioni tabu kuchoma mafuta kwa mtoto mzuriHapana nitakutia hasara ya mafuta, chakula kinanitosha wacha nipambanie tumbo langu
Hapana,nampenda tuHivi wewe na seseseko mu ukoo mmoja?
Kumbe ndo zako eeeh? Angalia utakuja kuchomea mafuta binti jini![emoji23][emoji23] mi sioni tabu kuchoma mafuta kwa mtoto mzuri
Ushawahi kufika congo?Hapana,nampenda tu
Na naipenda congo
Leo zamu yako, kwahiyo usithubutu kuacha lindo![emoji12]Jamani hili lindo leo nani yuko zamu maana kuna tabia ya watu kuacha virungu kimya kimya na kukimbia lindo.
No sio tabia yanguKumbe ndo zako eeeh? Angalia utakuja kuchomea mafuta binti jini![emoji23]
Hapana,ila ninampango kwenda december mwaka huu au mwakaniUshawahi kufika congo?
kwanini tena?Nipo. Ila nabii mke leo nimelala njaa!
Mmmh! [emoji848]No sio tabia yangu
Ni kwako tuuu[emoji4]
Mbona waguna ?Mmmh! [emoji848]