JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya nakuja. Chakula chenyewe ni nini? Maana nisijepoteza muda kumbe chakula chenyewe ni ......
We unapenda nini ?utakacho utapika
Kilichopo ni wali, samaki,ndizi, na juice

Jikoni kuna viazi vya chips,kwenye friji kuna nyama na mchicha
 
Back
Top Bottom