Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
Tatizo sio kuwika, je unafahamu namna sahihi ya kuwika,? je unazingatia muda na muktadha katika uwikaji wako? [emoji125] [emoji125]Hivi kweli swahiba, kokolikoooo ooooh! Inaweza kunishinda kweli? Au mnataka tu kumpaisha jogoo
Asante kwa kunikumbusha, ngoja nijiandae niwahi kanisani ili niwahi kutoka nikaangalie mechi ya watani wa jadi. Maana nasikia mgeni rasmi atakuja na cheti chake cha fomu foo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na wote tuimbe haleluya
Poa, best. Za siku nyingi?mambo Thad
Hahaha hapa hapa au nyuma ya pazia[emoji12]Kwani cha nje unakifahamu? Njoo tukiongee [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Amepokea tu pasipo kunitumia salamu na mimi?Amepokea
Acha wogaKumbe uko na shost angu Mzigua90, basi mi siji nisije nikaleta mgongano wa kimaslahi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unataka kujificha unaogopa kuchapia nini? Basi tuongee zetu kimakuaHahaha hapa hapa au nyuma ya pazia[emoji12]
I phone X yake imeisha chajiAmepokea tu pasipo kunitumia salamu na mimi?
Hahaha hapo kwenye cheti hizo taarifa naomba ziishie kwenye masikio yako tu[emoji40]Asante kwa kunikumbusha, ngoja nijiandae niwahi kanisani ili niwahi kutoka nikaangalie mechi ya watani wa jadi. Maana nasikia mgeni rasmi atakuja na cheti chake cha fomu foo
Heee kumbe kweli upo na jamaa! Nakusabahi shost.
Sipo nae shooHeee kumbe kweli upo na jamaa! Nakusabahi shost.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejibiwa Thad
Hahaha kiufupi ntajikuta ya kaisari nampea God[emoji2]Mbona unataka kujificha unaogopa kuchapia nini? Basi tuongee zetu kimakua
Niko mrengo utakaoshinda, wakitoka droo ujue mimi ni nisiyefungamana na upande wowote kama Afrika na vita baridi ya miaka ileHahaha hapo kwenye cheti hizo taarifa naomba ziishie kwenye masikio yako tu[emoji40]
Kwaiyo wewe uko mrengo gani wa hao watani? Tujuane mapema kabisa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] unataka uvue gamba ? Halafu....? Utavaa gwanda kweli wewe?[emoji23] [emoji23]
Kwa nilipofikia sidhani kama kuna kukua tena, labda nitoke magamba kama nyoka[emoji6]
nzuri my dear....grease! grease![emoji3][emoji3][emoji3]Poa, best. Za siku nyingi?
Hizi ni dalili tosha kuwa uko mrengo wa lile eneo ambapo maji yanakupwa kipindi cha kiangazi na kujaa kipindi cha masika[emoji40] [emoji125]Niko mrengo utakaoshinda, wakitoka droo ujue mimi ni niyefungamana na upande wowote kama Afrika na vita baridi ya miaka ile
Nani huyo ananisalimia? Ujue tangu mwaka huu uanze sijawahisalimiwa na mtu yeyote yule [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kuna mtu anakusalimia lakini!!
Malizia kabisa na keshoJana na leo