JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwahiyo kumbe namimi nitakuwa naingia huko ili nife si ndio? Siwezi!

NaKunywa nikiwa mzigoni, halafu mi sinywi hizo apple cider naziona kama apple punch tu😁

Baadae takuonesha what i do drink, friendšŸ˜Ž
acha UOGA wewe mbona sisi hatufi?
hahaha eti apple punch nn?minaziitaga juisi eti..
isije kua unakunywa captain wewe šŸ˜Ž
 
acha UOGA wewe mbona sisi hatufi?
hahaha eti apple punch nn?minaziitaga juisi eti..
isije kua unakunywa captain wewe šŸ˜Ž
Ndio vitu vyangu kabisa nakukatia chupa afu freshy tu!šŸ˜Ž

Sawa basi la aabh sana niko huko!
 
Back
Top Bottom