Hahah mwingine alilamika humu eti kuna demu ye anajifanyaga anapenda jukwaa la international yu eti ye anajua mambo ya vita vya syria,sijui China na wakina trump hahahHao ndio wazuri hao full kudanganyana tu akisema peoplesssss wew unasema powerrrrrrrrr[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah mi namaliza shift yangu lindoni hapa,So long bro.Jamani wakubwaa
Alfajiri njema ngoja nichukue majembe yangu nielekee shamba sasa
AaahHahah mwingine alilamika humu eti kuna demu ye anajifanyaga anapenda jukwaa la international yu eti ye anajua mambo ya vita vya syria,sijui China na wakina trump hahah
Sante kama uwe una kuja ukipata time mkuuHahah mi namaliza shift yangu lindoni hapa,So long bro.
Hamna noma mkuu wangu,nikiwa lindo ntakua napita mkuu.Sante kama uwe una kuja ukipata time mkuu
Poa poa mkuu uwe unapita aiseeeHamna noma mkuu wangu,nikiwa lindo ntakua napita mkuu.
How Beautiful You Are- Frankie J[emoji445]
Gud nyt
Hahaha, wapi hyhahahaaaaa htariii xna
Yes usjaliiOhhhh! Thank you .... Thank you so much Iceman 3D . I'll stay macho leo listening this number
Poa. Vipi?Wakuu vipi?
Bora Inna kanajua mambo ya maziwa ya n'gombe na mbuzi vitangina basiAaah
Hao madem siwataki
Unakuta mambo ya Trump yumoo
Mambo ya Cr 7 na mesi anajua, simba na yananga yumo
Hadithi za Lara na shigongo yum
Mapenzi yumoo
Hata raha ya kuish naye mbona hamna
Safi kaka za toka janaPoa. Vipi?
Kama kawa Mkali Iceman 3D niajeWakuu vipi?