Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Hahahahhhh ndio maana umakin unahtajka[emoji16][emoji16] wasiojulkiana wakikujua utajutaYeah
Mostly, unakuta ni kama haziaminiki. Halafu kuna kijinetwork.cha watu wana fahamiana. Ukiingia mkenge
Watakujua hadi chooni kwako [emoji23] [emoji23]
Na mimi mtizamo wangu ni huo huo,wakina Mbowe walipgwa ndani nikaona kimya nika conclude hata siku hio itakua kawaida tu,ila nashauri watu wawe na misosi ya kutosha ndani kwao kwnt tarehe hizo sijui kwanini hahahAaah
Sasa ndugu yangu unadhani tutafajya nn hiyo 26/4 ?
Sioni waandamanaji bongo hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani mchiz yuko siriazi?kuna mchiz flani humu anapenda ku taggiana na demu wake kila saa,siku 1 nacheki ile thread ya sehemu gani ya hatari uliwahi kufanyia mapenzi nikaona demu ameandika Msibani hahah,humu sio pazuri aisee.
Unamdhibiti sanaaa mkiachana lazima alaete ripotii hapaaHahahaa
Ana weza lakini ubaya wa watu kama wake rekationship yako haitakuwa na privacy
Pole mkuu,nikiona jina lako nakumbuka jamaa aliyesemaga"human face",hahahNa iwe hivyo mkuu. Bado nipo nipo kwanza. Nimepitia mengi. Hiyo ni story ya wakati mwingine!!
yan kule ni waongooooooooo balaaa,sehm ambayo ni nzr ni Fb basiMi huwa nahisi bhana kila mtu na bahat yake
Insta una uhakika wa kumpata demu lakini nako wengi hawanaga life la uhalisia
Hahah kipindi ana comment alikuaga bado hajajuana na mchiz,mambo ya kutaggiana yalikua bado.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakuwa alikuwa ana tania tuu
Ila zile swaga sasa ndio huwa sikubali. Tafuta mtu ukimpata piga kimya kimya halaf sio kila nyuzi mko wote mtakwazana mwishoe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahhhh ndio maana umakin unahtajka[emoji16][emoji16] wasiojulkiana wakikujua utajuta
Duu hatari alafu wanauza na Gazetii....Yeah
Mostly, unakuta ni kama haziaminiki. Halafu kuna kijinetwork.cha watu wana fahamiana. Ukiingia mkenge
Watakujua hadi chooni kwako [emoji23] [emoji23]
Kweli aisee mm mwenyew nataka Bi mkubwa nimtupie hela before anunue misos ya kutosha xnaNa mimi mtizamo wangu ni huo huo,wakina Mbowe walipgwa ndani nikaona kimya nika conclude hata siku hio itakua kawaida tu,ila nashauri watu wawe na misosi ya kutosha ndani kwao kwnt tarehe hizo sijui kwanini hahah
Teh tehNa mimi mtizamo wangu ni huo huo,wakina Mbowe walipgwa ndani nikaona kimya nika conclude hata siku hio itakua kawaida tu,ila nashauri watu wawe na misosi ya kutosha ndani kwao kwnt tarehe hizo sijui kwanini hahah
Kule watu wanajionea kwa macho huku mboyoyo nyiiiiiingi sana.Insta kuna uhalisia zaid eeh? Sasa kwa mimi ambaye insta sipajui
Itabid niwe najaribu kupambana huku huku tu
Hahah ile V8 mkuu,labda ww uwe V10 au V12 ndo utaiweza mkuu.Huyo ana Characteristics gani sio mchele mchele. Nisije nikaweka mtego wa njiwa nikaambulia kunguru.
HahahahUnamdhibiti sanaaa mkiachana lazima alaete ripotii hapaa
Kwani mkuu washkaji wanataka uhalisia kabisaa au wanataka tu gundi isigande kwenye chupa yake mkuu?Mi huwa nahisi bhana kila mtu na bahat yake
Insta una uhakika wa kumpata demu lakini nako wengi hawanaga life la uhalisia
Hii inatokea huwez aminTeh teh
Mi nikiona watu wako siriaz kuandamana ntawaunga mkono
Ttzo sidhani kama kutatokea hiyo ishu
Hahahahayan kule ni waongooooooooo balaaa,sehm ambayo ni nzr ni Fb basi
HahahahaHahah kipindi ana comment alikuaga bado hajajuana na mchiz,mambo ya kutaggiana yalikua bado.
Aisee mm demu hata akija PM nahisi ni mtekaji/watu wasiojulikana nalala zangu mbele hata sijibu,hahah
Humu kuna mjomba kwenye thread 1 picha zake ziliwekwa kutolewa huko fb, mjomba alikua anaomba ushauri kwamba ana machine kubwa inamuumiza mkewe,wadau wakaweka picha zake akiwa ofisini mara kapiga picha ameegemea toyota runX akaambiwa jamaa na machine yako kubwa na mbupu zako 2 kazi yako ni kuegemea tu magari ya vidume wenzako hapo ofisin kwenu hahah noma sana.Hahahahhhh ndio maana umakin unahtajka[emoji16][emoji16] wasiojulkiana wakikujua utajuta
Kule ni easy xna kwnz unamperuz MTU na kumdadis vzr unardhika nae halaf michongo mingne kama kawa mm kuna jamaa yng ameoa mke mzr lkn alimpata Fb bla kutarajia wakaanza kama utani mpk sasa hv Ana watoto wawil.Hahahaha
Fb ni nzuri kwakuwa ni mtandao usio na swaga halaf kuna watu wengii hivo hu2a kuna reflect uhalisia.
Yaan kulr mtu kupiga picha yuko shambani haoni shda.
Nadhani ni afadhali kule