Hahah aisee ile siku nahisi mkuu ndo alergy ya kuzurula duniani iliishia pale kabisaaa.Atajua yeye ila kuna siku alimlainishia mzinduzi swali aliloulizwa na mzungu likawa limeingilia sikio la kulia likatokea la kushoto
HahahahHahah mskaji akitaka azinduliwe nyumba yake fasta aseme hii nyumba ni sample tu ya kiwanda tutakachojenga hahah,hapo fasta tu.
Aweke na tumashine twa juice tuwili tu, kiwanda hicho na kinastahili kuzinduliwa!!!Hahahaha
Kuna rafiki yangu amasema akimaliza nyumba yake atajaribu kumualika eti
HahahahahHahahaha
Hata sijuagi mkuu.Alienda wapi?!
Mnh. Kwa hiyo wake wa watu wengine fair game?! Tumesema ndoa ziachwe ukasema tutatubu. Tuendelee kumsaidia mkuu na huyo Mumu!!!Weee braza
Mke wa bro wangu yule jiheshimuuu
[emoji379] [emoji379] [emoji379]
Kweli acha tuuu. Heshim ndoa
HahahahaNa mm one day tu ntapata mdada mstaarabu au limama langu moja humu safi tutakuw tunaitana baby, sweetie,honey yan nimuheshimu aniheshimu itakuwa poa sana.
Hapana mkuu.migomba ya uhayani nn?
Nitamtafuta mwingine nimletee jamviniiHahahahah
Angekuwa mwingine ninge kusaidia ila mumu ni shemeji yangu ata nishangaa
EeehMungu mwenyewe kawapa nyusi wanazikwangua na kupaka masizi!!! Kuwaelewa ni ngumu!! Ila ni viumbe muhimu tu!
Si hivyo vya kujipanga mstari na kupiga makofi. Kusema hoyeee wakati uko hoi!!! Bora nilime tu.Vitu gani mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah wamesema kuna mazoezi ya namna ya kupambana na ugaidi,kuzuia maandamano na mengineyo mkuu(na ni serious mkuu)
Mkuu humu ni noma sana kuna dada alikuaga anajiita ladyboss sijui nini kama wakina zari vile mara paaap id ikaunganishwa alikua anauza kitanda anatafuta mteja hahah,ndo mambo ya humu ndg yangu.Na mm one day tu ntapata mdada mstaarabu au limama langu moja humu safi tutakuw tunaitana baby, sweetie,honey yan nimuheshimu aniheshimu itakuwa poa sana.
Wala siyo shughuliHapo kwenye kucheza part yako ndo kuna shughuli braza
Busara hii mkuu. Useja nao mnh!!!Hahaha
Tuwe nao
Ila usiwekeze akili yamo yooote kwao uta ishia kuumia tuu.
Wanasema cheza part yako bas mengine mwachie ata amua
Huo ni unafkii mbayaaa Sanaaa hivi wanapewaga vihela au basi tu ushabiki maviSi hivyo vya kujipanga mstari na kupiga makofi. Kusema hoyeee wakati uko hoi!!! Bora nilime tu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjue nawapigia kelele watu hapa
Inna ni wa mtakatifu Ivuga huyoHivi hakua Inna kweli(if am not mistaken bro).
Na kweli wana maajabu yao,hivi kwanini zamani walikuwa wanapandaga maua sebuleni?Mungu mwenyewe kawapa nyusi wanazikwangua na kupaka masizi!!! Kuwaelewa ni ngumu!! Ila ni viumbe muhimu tu!
Ulale salama nduguWakuu shemeji yenu kaamua kunitafutia usingizi.......byeeee