JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeamua na dadako mnipiku sasa. Kitu gani hicho na mie nikijueNishaona. Nitakuroga nakwambia endelea tuuMscheeewwUmalaya tuuNimeshindwa hata cha kuandika. Sawa lakiniNaona bwana anakupenda sana. Karibu tumlee wote mume wetu Mr Miller

Solee nimewajibu saa hizi team popo
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?

Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
picha linaanzia hapaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeamua na dadako mnipiku sasa. Kitu gani hicho na mie nikijueNishaona. Nitakuroga nakwambia endelea tuuMscheeewwUmalaya tuuNimeshindwa hata cha kuandika. Sawa lakiniNaona bwana anakupenda sana. Karibu tumlee wote mume wetu Mr Miller

Solee nimewajibu saa hizi team popo
Ahhahaha nimecheka sana mwenzaaa loooh
 
Mnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?

Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
We Thad banaaa. Mie niulize baba chanja.
 
Back
Top Bottom