JamiiForums Usiku wa manane

ndio mkuu nimepanda noah na nissan tu.......mabasi ya kusini bado[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kuna kipindi kukaa mbali na matatizo inasaidia sana, chukua tu ushauri wa bure kiongozi. Kaa mbali. Hii vita inapiganwa kwa nguvu za giza, atomic, nyuklia, marungu, vifaru, manati, teknolojia, mizinga, fitna na aina zote za silaha...nikikuangalia vizuri sijui hata kama unaweza kunyanyua upinde.

Kuwa mpole kwanza gavana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani tangu siku hiyo uliamini msemo wa wahenga kuwa"Mipango si matumizi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…