carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
0002
Popo bundi na, wengine wote geti limefunguliwa. Nawaachia jamvi Mi sipo vyema wakuu
Mm pia am NOT okay leo,.so good night,. Ntawamiss lakiniii[emoji22][emoji22][emoji22]
Tuelekee mama
@Thad umegundua nini hapo?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Shamoo mwalimu
MsalimieeeeeNilijua umemuita Inna
Hili jamvi limepigwa spray ya kusinzia niniNasinzia ile mbaya yaan
Sawa naomba ulete hiyo bill hapa lindoniMajuzi kati alinitumia vijisenti kwa njia ya simu, kabla hata sijavitoa akawapigia simu mawakala kusitisha muamala wakati mimi nilikuwa nimeshakula chakula nikijua nina hela kwenye simu, timbwili lililonikuta baada ya kukosa hela ya kulipia chakula almanusura linitoe roho.
Na mpaka sasa ninadaiwa sh.500000 za chakula tu [emoji18] [emoji18] [emoji18] bado gharama zingine zilizojitokeza ambazo ni sh.2,000,000 hapa nilipo jumla amenisababishia deni la sh.2,500,000
Tena kanitenda vibaya sana huyo nduguyo Samaritan na vipesa vyake vya mawazo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Umetendwa!!?
Kwahiyo unajiona?[emoji28] [emoji28]Kama kioo vile
Wakili tapeliWatu mnakesi kuzidi serikali naomba niwe wakili wako Ila kesi sitaisikiliza leo
Kalale tuNasinzia ile mbaya yaan
Sikutaki utakuwa mamluki, unataka nishindwa kesi eeeh!Watu mnakesi kuzidi serikali naomba niwe wakili wako Ila kesi sitaisikiliza leo
Sasa hivi naondokaSasa kamoyo kametulia Ila usisahau nawe kuwahi maana Si kwa uandunje huo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmmh,[emoji23] [emoji23]@Thad umegundua nini hapo?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ohooo! Timbwili lingine tena?Naona tu subiri uone fujo hapa ndo utajua naibiwa nn
@Samaritan njoo ujibu hizi tuhuma juu yako kabla wanajamvi hawajatoa hukumuMajuzi kati alinitumia vijisenti kwa njia ya simu, kabla hata sijavitoa akawapigia simu mawakala kusitisha muamala wakati mimi nilikuwa nimeshakula chakula nikijua nina hela kwenye simu, timbwili lililonikuta baada ya kukosa hela ya kulipia chakula almanusura linitoe roho.
Na mpaka sasa ninadaiwa sh.500000 za chakula tu [emoji18] [emoji18] [emoji18] bado gharama zingine zilizojitokeza ambazo ni sh.2,000,000 hapa nilipo jumla amenisababishia deni la sh.2,500,000
Nani huyo?Naona kuna mutu inaniibia my bbybwangu
MmmmmmhhhhIla pia naona ushirikiano kutoka upande wa pili sijui naota?
Unaondoka na wangapi leo?Sasa kamoyo kametulia Ila usisahau nawe kuwahi maana Si kwa uandunje huo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha me sio mzoefu lakini ...... Unajua kuna watu wakienda ugenin wakiulizwa unataka chai au soda kun wengin hua waatasema nipe soda akati chai inaivaKaribu sana, anza kutamba uwanja uko wazi
Hivi nikikuROMA nitakuw nimekosea kweli@Thad umegundua nini hapo?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora wewe u mwepesi kujiuzuru sio kama wale viongozi wenuNimejiuzuru kujisikia ovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaondoka na wawiliUnaondoka na wangapi leo?