😀😀😀😀aiseeDah! Pole sana, lazima upoteze bashasha..mke wa huyo jamaa atakua na ndomo sana, anaweza kukupiga vijembe ukayeyuka. Kana kwamba haitoshi mzee mzima anakuja kukuanzishia thread kwenye kadamnasi. Pole sana.
ndo umelala kweli cha mdeko?Umejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchat
Haya endelea kuenjoy ngoja nilale .
oyooooo..Nasemaje mr miller ana wivu kama vipi nampa nafasinya bureee tu anioe kabisa nimzalie na watt mm bado msichana mbichi nalipa nalala nitakuta majibu kesho
😀😀😀eti mrejeshoDemiss plz naomba umsamehe. Unless unihakikishie kuwa majira kama haya mwakani nanyi mtatuletea mrejesho kama wa smart na mahondaw
Demiss plz naomba umsamehe. Unless unihakikishie kuwa majira kama haya mwakani nanyi mtatuletea mrejesho kama wa smart na mahondaw
naunga mkono hojaRafiki, shika jembe ukalime, hao ndio safari imeshaanza
😀😀doh!Basi usingiz unanifanya nisione jina lako siku nyingine. Ucjali pamoja sana
Mchana kuna mtu kanitibua mbaya, natamani angekuwa jf member yamkini nami ningewaletea mrejesho mwakani [emoji4] [emoji4] [emoji4]Naomba ukafukue kidogo post za hiyo anniversary, ukiona majibu yana ukakasi ujue tu watu ndio wanarusha nyavu
Ushauri murua huu, watakapoleta mrejesho mimi nitakuwa na vuna....si eti eeeh!?Rafiki, shika jembe ukalime, hao ndio safari imeshaanza
karibu ..asante..
itapendeza zaidi kama utanichagulia wewe
[emoji28] [emoji28]Nasemaje mr miller ana wivu kama vipi nampa nafasi ya bureee tu anioe kabisa nimzalie na watt mm bado msichana mbichi nalipa nalala nitakuta majibu kesho
Mchana kuna mtu kanitibua mbaya, natamani angekuwa jf member yamkini nami ningewaletea mrejesho mwakani [emoji4] [emoji4] [emoji4]
my ribsNaomba ukafukue kidogo post za hiyo anniversary, ukiona majibu yana ukakasi ujue tu watu ndio wanarusha nyavu
Comrade comrade long time no see u brother.[emoji28] [emoji28]
Ukute jamaa alikukasirisha ili utoe offer kama hii