Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Aaah wengine bado washamba tunajifanya ndoo tuu inatosha,.mweh!!! Basi baridi inapeeenyaaaajee mpaka kwenye ateri ya renali....Hapo ndio utapoelewa maana ya usemi wa makungwi kuwa, 'mwanamke kidumu'
Aiseeetehteehh....[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu libaki kama kumbukumbu kwetuBasi tulifute tu hakuna namna hata mm ninalo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]Aaah wengine bado washamba tunajifanya ndoo tuu inatosha,.mweh!!! Basi baridi inapeeenyaaaajee mpaka kwenye ateri ya renali....
Ebu ukuje huku penye huwa tuna kutana....Mmelala.
Woza wozaa[emoji7] [emoji7] kumbe am not aloneeeNilikua nafurahia kifo cha wengi, kinakuaga kama harusi....[emoji13] [emoji13]
Hapana dear, tumeamkaMmelala.
Mkuu kulikoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15]Aiseee
Naona tupo safari moja haki...Woza wozaa[emoji7] [emoji7] kumbe am not aloneee
Hivi hiyo harusi inakuwaga kwa wafu au wafiwa? [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nilikua nafurahia kifo cha wengi, kinakuaga kama harusi....[emoji13] [emoji13]
Babu angalia wez wasije kukuharibia kazi hapo uwe unapepesa macho getiniMkuu kulikoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hakuna namna mwanzo mgumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu libaki kama kumbukumbu kwetu
Hebu nipe maana yako halisi ya picha etu bathiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]
Mnakufa huku mnafarijiana....[emoji12] [emoji12]Hivi hiyo harusi inakuwaga kwa wafu au wafiwa? [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Haina maana zaidi ya hicho unachokiona kwenye picha hasa hiyo ya watu wanaopigiana gitaa....Hebu nipe maana yako halisi ya picha etu bathiii
Duh! Haina maana, kwasababu muda mfupi baada ya kifo kila mtu anashika njia yake (kaburi)Mnakufa huku mnafarijiana....[emoji12] [emoji12]
Umeona eeehHakuna namna mwanzo mgumu
Ohhhooooo.....Babu angalia wez wasije kukuharibia kazi hapo uwe unapepesa macho getini